
YANGA WATUPA DONGO KIMTINDO SIMBA KISA KICHAPO
BAADA ya wawakilishi wa kimataifa katika Kombe la Shirikisho, Simba kufungwa 3-0 dhidi ya ASEC Mimosas watani zao wa jadi Yanga wametupa jiwe gizani kimyakimya. Kupitia Insta yao waliachia picha ya Djuma Shaban akiwa mwenye kicheko na kuuliza..wawakilishi wa nini..au basi… Haji Manara Ofisa Habari wa Yanga aliweza kudondosha maoni yake kwa kuandika labda wawakilishi…