
YANGA KILA KONA WAMEIBANA SIMBA
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamewabana kotekote mabingwa watetezi wa ligi na Kombe la Shirikisho, Simba kwa kuwa wazi kwamba wanahitaji kushinda kila sehemu. Kwenye Kombe la Shirikisho, Yanga imetinga hatua ya robo fainali na inatarajiwa kumenyana na Geita Gold na kwenye ligi, Yanga ni namba moja ikiwa na pointi 48 baada ya…