MSHAMBULIAJI WA SIMBA AKUBALI UWEZO WA MAYELE,AMPA TUZO
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba ambaye hivi sasa anacheza Kagera Sugar, Mganda, Hamis Kiiza ‘Diego’amesema kuwa Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga ana uwezo mkubwa wa kucheza na kufunga. Kiiza aliyewahi kuichezea Yanga kabla ya kwenda Simba, alitoa kauli hiyo mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Februari 27,2022….