YANGA KURUDI DAR NA FURUSHI LA POINTI
BAADA ya kikosi cha Yanga kusepa na pointi tatu mazima mbele ya Geita Gold Machi 6,2022 leo wanarejea Dar kikiwa na furushi la pointi kibindoni. Bao pekee la ushindi lilijazwa kimiani na Fiston Mayele dakika ya 1 na lilidumu mpaka kipyenga cha mwisho. Ushindi huo unaifanya Yanga iridium kujenga ngome kileleni ikiwa na pointi 45…