YANGA:SISI BADO TUPO,KUSHUKA BADO SANA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba bado upo nafasi ya kwanza na kwa wale ambao wanafikiria kwamba watapoteza kwenye mechi za hivi karibuni hilo walisahau. Ikiwa imecheza mechi 17 kibindoni imekusanya pointi 45 haijapoteza mchezo hata mmoja zaidi ya kuambulia sare kwenye mechi tatu pekee na moja kati ya sare hizo ni ile iliyopata mbele…

Read More

HERI YA SIKU YA WANAWAKE WOTE DUNIANI

LEO ni Jumanne, Machi 8,2022 ni siku ya Wanawake Duniani, tunaungana na wale wote ambao wanaosherehekea siku hiyo. Hapa tunaangalia baadhi ya Wanawake ambao wapo kwenye ulimwengu wa soka wakiwa ni viongozi. Zamani ilikuwa ni nadra sana kuona mambo haya yakitokea ila kwa sasa imekuwa ni ajira na wengi wanafanya kazi ile kwa sana:- Barbara…

Read More

SIKU KUU YA WANAWAKE DUNIANI, IMENOGESHWA NA MKONO WA PONGEZI KUTOKA MERIDIANBET

Kama ilivyodesturi ya Meridianbet kurudisha kwenye jamii inayoizunguka, safari hii, kampuni ya Meridianbet Tanzania imetoa mkono wa pongezi kwa kina mama waliojifunga na wanaotarajia kujifungua kwenye Hospitali ya Mkoa Ya Rufaa, Mwananyamala.   Tarehe 8 mwezi Machi kila mwaka, ni siku maalumu ya kumsherehekea mwanamke kote duniani. Siku hii ni mahsusi katika kumpatia thamani mwanamke…

Read More

LEO LIGI KUU BARA RATAIBA HII HAPA

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Machi 7 ikiwa ni mzunguko wa 17. Ruvu Shooting itamenyana na Biashara United saa 8:00 mchana ni Uwanja wa Mabatini. KMC wao watamenyana na Coastal Union pale Azam Complex ngoma itakuwa saa 10:00 jioni. Simba SC itakuwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Dodoma Jiji, saa 1:00 usiku.

Read More

BIASHARA YA INONGA ILIKUWA NAMNA HII

BEKI wa Simba, Henock Inonga,Uwanja wa Mkapa alikuwa na biashara yake uwanjani mbele ya Biashara United kwenye mchezo wa ligi wakati Simba ikishinda kwa mabao 3-0. Aliweza kutumia jumla ya dakika 65 na kutolewa kutokana na kupata maumivu lakini aliacha biashara ya msako wa pointi tatu ukiwa umekamilika kwa kuwa Simba ilikuwa tayari imeshatupia mabao…

Read More

YANGA NDANI YA DAR

KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Machi 7 kimewasili salama Dar baada ya kuanza safari mapema leo wakitokea Mwanza. Jana Machi 6,2022 Yanga ilikuwa kwenye msako wa pointi tatu na ilishinda kwa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Bao la ushindi lilipachikwa…

Read More

KAPOMBE KUIKOSA DODOMA JIJI KWA MKAPA

BEKI bora katika kazi ngumu na chafu uwanjani Shomari Kapombe leo Machi 7,2022 anatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji. Kapombe aliumia katika mchezo uliopita mbele ya Biashara United na alikwama kuyeyusha dk 90 badala yake alitumia dk 30. Aliweza kutoa pasi mbili za mabao yaliyofungwa na Pape Sakho pamoja na Mzamiru Yassin….

Read More