RATIBA YA MZUNGUKO WA 18,LIGI KUU BARA

Mzunguko wa 18, ratiba ya Ligi Kuu Bara:- Mbeya City v Kagera Sugar, Machi 12, Uwanja wa Sokoine. Coastal Union v Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkwakwani, Machi 12. Mtibwa Sugar v Geita Gold, Uwanja wa Manungu Machi 13. Dodoma Jiji v Mbeya Kwanza, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Machi 13. Biashara United v Prisons, Machi 15,Uwanja…

Read More

YANGA YAKIRI KMC NI WAGUMU

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameonyesha kuwa hataki kufanya mchezo katika suala la kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, hii ni baada ya kuwaambia mastaa wake kuhakikisha wanakuwa na mawazo ya pointi tatu tu, katika mchezo wao ujao dhidi ya KMC. Kuelekea mchezo huo dhidi ya KMC utakaochezwa Jumamosi ijayo, kikosi cha…

Read More

ABRAMOVICH APEWA RUKSA KUIWEKA SOKONI CHELSEA

ROMAN Abramovich na Serikali ya Uingereza imeripotiwa kwamba wamefikia makubaliano kwa ajili ya suala la mauzo ya timu ya Chelsea. Serikali inaelezwa kuwa inazingatia suala la timu hiyo kuwekwa sokoni ili kuweza kupata matokeo mazuri kwa ajili ya Chelsea. Kampuni ya Raine Group imeelezwa kuwa imepewa ruhusa ya kuendelea na mchakato wa kusaka mshindani ambaye…

Read More

NAMUNGO WAWEKA WAZI KWAMBA UBINGWA NI MALI YAO

KOCHA Msaidizi wa Namungo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema wao ndio watakaokuwa mabingwa mwisho wa msimu hata kama watu hawawapi nafasi. Julio amesema, kila mechi ambayo wanakwenda kuicheza kwa sasa itakuwa ni kama fainali, kwa sababu wanahitaji kupata alama tatu ambazo zitawafanya wawe mabingwa mwisho wa msimu. Namungo wanakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi,…

Read More

PABLO: TUTACHEZA KIBINGWA KWA MKAPA

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Jumapili dhidi ya RS Berkane, benchi la ufundi la timu hiyo linafanya maandalizi makubwa kuhakikisha si tu kwamba kikosi chao kinaibuka na ushindi dhidi ya Berkane, lakini pia kinatoa burudani ya kibingwa. Simba wanatarajia kuvaana na Berkane keshokutwa Jumapili katika mchezo wao…

Read More

NABI: KMC WAGUMU LAKINI LAZIMA TUSHINDE

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameonyesha kuwa hataki kufanya mchezo katika suala la kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, hii ni baada ya kuwaambia mastaa wake kuhakikisha wanakuwa na mawazo ya pointi tatu tu, katika mchezo wao ujao dhidi ya KMC. Kuelekea mchezo huo dhidi ya KMC utakaochezwa Jumamosi ijayo, kikosi cha…

Read More

VITA YA UBINGWA vs VITA YA TOP 4, MAMBO NI MOTO VIWANJANI

Tunaendelea tulipoishia wikiendi iliyopita. Manchester United na muendelezo wa michezo muhimu nap engine yenye kuamua hatma yao msimu huu. PSG nao wamerudishwa kwenye Ligue1, UEFA hawapawezi. Uturuki nako kunapambamoto, SuperLig kwenye ubora wake. Afrika napo mambo ni bambam kunako mashindano ya CAF, usikae mbali na Meridianbet!   Izundue wikiendi kwa mchezo wa Mashindano ya CAF…

Read More

NABI ANATAKA MABAO YA MAPEMA NDANI YA YANGA

KATIKA kuwavuruga wapinzani wao katika Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi amesema kuwa anahitaji mabao ya ndani ya dakika 10 ili kuweza kujenga hali ya kujiamini. Hiyo ni moja ya mikakati yake mipya atakayokuja nayo mara baada ya kurejea katika ligi watakapovaana dhidi ya KMC Machi 16, mwaka huu…

Read More

YANGA KUCHEZA MCHEZO WA HISANI KESHO AZAM COMPLEX

KLABU ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunissia kesho, Jumamosi Machi 12 inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya taifa ya Somalia. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa  Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku ikiwa ni sehemu ya mandalizi ya mchezo wao ujao wa ligi dhidi ya KMC….

Read More

BERKANE WATAMBA KUWA NI BORA KULIKO SIMBA

NYOTA wa zamani wa kikosi cha Yanga ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya kikosi cha RS Berkane, Fiston Abdoul Razak ameweka wazi kwamba kikosi chao ni bora kuliko wapinzani wao Simba. Jana, Machi 10 RS Berkane waliwasili Tanzania kwa ajili ya mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa baada ya kuanza safari Machi 9 wakitokea…

Read More