BARCELONA YAISAKA SAINI YA LEWANDOWSKI

IMEELEZWA kuwa Klabu ya Barcelona inaisaka saini ya staa Robert Lewandowski ambaye ni mshambuliaji ili kuweza kuwa naye kwa msimu ujao ndani ya kikosi hicho. Lewa ni moja ya mastaa ambao wana ushkaji mkubwa na kucheka na nyavu alikuwa anatajwa pia kuwindwa na Manchester United. Staa huyo wa Klabu ya Bayern Munich mkataba wake umesalia…

Read More

UWEZO WA MAYELE WAMVUTA WINGA AS VITA

KAMA ulikuwa unahisi mshambuliaji Fiston Mayele anawapa furaha mashabiki wa Yanga na kuishia tu hapa nchini, basi utakuwa unajidanganya. Hiyo ni baada ya Spoti Xtra kufanya mazungumzo na winga wa AS Vita ya DR Congo, Glody Makabi Lilepo ambapo ameweka wazi matamanio yake ya kutaka kucheza na Mayele ndani ya Yanga. Mayele ambaye amejiunga na…

Read More

MOLOKO AREJEA NA HESABU ZA UBINGWA

KIUNGO wa Yanga, Jesus Moloko, amefunguka kuwa kwa sasa anatamani sana kurejea kwenye kikosi hicho ili kuendeleza mapambano ya kulisaka taji la ligi kuu msimu huu. Moloko ambaye ameanza mazoezi na timu hiyo, anadai kuwa alikuwa anajisikia vibaya kuwa nje ya timu kwa sababu ya majeraha kwa kuwa mara zote amekuwa na kiu ya kutaka…

Read More

SIMBA YAPIGA HESABU ZA ROBO FAINALI

KUELEKEA mchezo wao wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USGN, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa watafanya kila kinachowezekana kushinda mchezo huo, ili kutinga hatua ya robo fainali. Aprili 3, mwaka huu, Simba iliyo nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi D, wanatarajia kuwa wenyeji wa USGN…

Read More