
BAO LA SAKHO LACHAGULIWA KUWA BAO BORA LA WIKI
PAPE Sakho kiungo mshambuliaji wa Simba bao alilowatungua RS Berkane limechaguliwa kuwa bao bora la wiki katika mashindano ya Kombe la Shirikisho. Pape alipachika bao hilo Uwanja wa Mkapa, Machi 13 wakati Simba ikivuna pointi tatu mazima. Ilikuwa dakika ya 44 Sakho alifanya hivyo baada ya kupokea pasi kutoka kwa Meddie Kagere. Kabla ya kufunga…