
VIDEO:CHEKI MAZOEZI YA SIMBA KUIVUTIA KASI RS BERKANE
LEO Machi 12, kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kimefanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane unaotarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Mkapa.