MCHEZAJI ALIYECHEZEWA FAULO NA MAUYA HALI YAKE BADO
TAARIFA kutoka Geita Gold kuhusu mchezaji wao Erick Yema ambaye alipata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga imeeleza namna hii:- “Siku ya Jumapili (Juzi) kwenye mchezo wetu dhidi ya Yanga baada ya kugongwa na mguu na mchezaji wa Yanga (Zawadi Mauya) alishindwa kuendelea na mchezo hali iliyotulazimu kuchukua ‘ambulance’ na kumkimbiza…