IHEFU YAPOTEZA MBELE YA DTB CHAMPIONSHIP

KLABU ya DTB inayoshiriki Championship leo Machi 5 imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu FC ya Mbeya. Ilikuwa ni mchezo mmoja wa kukata na shaka uliowakutanisha vigogo hawa wanaopewa nafasi kubwa ya kuweza kushiriki Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Bao pekee la ushindi lilifungwa na Ally Ally wa Ihefu ambaye ni…

Read More

NYOTA WAWILI WAMPA KIBURI NABI KUIVAA GEITA GOLD

 KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi amefurahia kurejea uwanjani mastaa wake wawili jambo linalomuongezea nguvu kuelekea mchezo wake dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa kesho. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana Jumapili hii katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kupigwa saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mastaa hao waliorejea katika…

Read More

AZAM FV V POLISI TANZANIA LEO NI LEO

LEO ni leo kwa Azam FC kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Polisi Tanzania ambayo nayo inapiga hesabu ya kusepa na pointi hizo tatu. Ikumbukwe kwamba jana Polisi Tanzania wachezaji wote pamoja na viongozi wa timu hiyo waliweza kumtembelea mchezaji wao Gerald Mdamu ambaye alipata ajali na aliweza kuwapa ujumbe wa kuwaomba wachezaji wenzake wazidi…

Read More

MITAMBO YA MABAO YAANZA KAZI SIMBA

NYOTA wawili wa Simba ambao ni Chris Mugalu na Kibu Dennis tayari wameanza mazoezi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu Pablo Franco. Nyota hao ni mitambo ya kutengeneza mabao kutokana na kuwa na rekodi za kuwa na uwezo wa kutengeneza nafasi za mabao kwenye mechi ambazo wamecheza msimu wa 2021/22. Mugalu yeye ametengeneza…

Read More

KLOPP KUSEPA LIVERPOOL

JURGEN Klopp,Kocha Mkuu wa Liverpool inayoshiriki Ligi Kuu England amethibitisha kwamba ataondoka ndani ya timu hiyo mkataba wake utakapomeguka 2024. Ameongeza kuwa anaweza kuamua kubaki hapo ikiwa tu ataona ana nguvu ya kuweza kuiongoza timu hiyo. Liverpool chini ya Klopp iliweza kuvunja mwiko wa kupitisha miaka 30 kusubiri taji la Ligi Kuu England akiwa amekaa…

Read More

MAYELE KUPEWA ZAWADI KUBWA AKIWAFUNGA SIMBA

MJUMBE wa Kamati ya Wazee ya Klabu ya Simba, Said Muchacho, amemuahidi kumpatia zawadi ya mbuzi mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele kama atafanikiwa kuifunga Simba katika michezo inayofuata ambayo watakutana. Ahadi hiyo imekuja ikiwa ni siku chache baada ya shabiki mmoja wa Yanga kutoka Morogoro kumpa Mayele ng’ombe baada ya kufunga bao dhidi ya Mtibwa…

Read More