ABRAMOVICH ANATAJWA KUIWEKA SOKONI CHELSEA

BILIONEA Roman Abramovich inatajwa kwamba ameanza kuuza vitu ambavyo anavimiliki ndani ya England kwa bei ya hasara na anajaribu pia kuweza kuuza umiliki wa timu ya Chelsea kwa dau la euro bilioni 3 na milioni 200 kwa hofu ya kuweza kuzuiliwa vitu vyake kwa kuwa ni raia wa Urusi. Miongoni mwa vitu ambavyo anamiliki na…

Read More

KAPOMBE APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA

BEKI wa kazi chafu, mzawa Shomari Kapombe anayekipiga ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco pamoja na msaidizi wake Seleman Matola ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki kwa mwezi Februari. Kapombe ametwaa tuzo hiyo kwa kuwashinda wenzake wawili ambao aliingia nao fainali katika kuwania tuzo hiyo. Beki wa kati Henock Inonga…

Read More

NABI:CHICO MTAMUELEWA TU,ATAFANYA KAZI VIZURI

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wale wanaosema kuhusu mchezaji wao mpya Chico Ushindi watamuelewa tu kwa sababu hakusajiliwa kwa makosa. Chico ambaye ni ingizo jipya kwenye dirisha dogo mechi mbili za ligi amecheza na kutumia dakika 19.  Nabi amesema kuwa anasikia wengi wanazungumza kuhusu uwezo wa Chico na kwa nini hachezi hilo…

Read More

BILIONEA ANAHITAJI KUINUNUA CHELSEA

BILIONEA Hansjorg Wyss raia wa Switzerland inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kuhitaji kuwa mmiliki wa Klabu ya Chelsea kwa kuwa anahitaji kuinunua baada ya habari kuelezwa kwamba Roman Abramovich yupo kwenye mpango wa kuiuza timu hiyo. Bilionea huyo mwenye miaka 86 inaonekana kwamba anauhitaji wa kuwa mmiliki wa Chelsea inayotumia Uwanja wa Stamford Bridge…

Read More

RATIBA YA SIMBA MACHI NI BALAA

BAADA ya wawakilishi wa Tanzania kimataifa Simba kurejea salama Dar wakitokea Morocco wana vigongo vya moto ndani ya Machi kutimiza majukumu ya kusaka ushindi. Ikumbukwe kwamba Februari 27 walinyooshwa mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane ya Morocco katika mchezo wa kundi D kituo kinachofuata ni dhidi ya Biashara United. Mchezo huo wa ligi unatarajiwa kuchezwa…

Read More

AZAM FC YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA COASTAL UNION

JOHN Matambala, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa Coastal Union ilikuwa imara eneo la katikati huku akiwaomba mashabiki kuendelea kuwa wavumilivu. Machi Mosi, ubao wa Uwanja wa Azam Complex umesoma Azam FC 0-0 Coastal Union na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. “Tumetoka kupoteza mechi,ninawapongeza Coastal Union kwa kuonyesha mchezo mzuri. Mashabiki wasikate tamaa,mpira upo hivyo…

Read More