WIKI BOMBA UCL NA USHINDI WA MERIDIANBET

Wiki hii inakuwa tamu zaidi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Mbappe akiwa anakutana na klabu yake pendwa anayo husishwa nayo zaidi ya Real Madrid. Meridianet wana mzigo wako kwenye gemu hii. Messi atakuwa akitazamwa zaidi kwenye gemu hii, ambayo kutokana na muda wake na Barcelona ni kama amekuwa na upinzani wa kudumu na Real Madrid…

Read More

KIMATAIFA:SIMBA 1-0 ASEC MIMOSAS

BAO la Pape Sakho dakika ya 12 linawafanya Simba kuelekea katika vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa mbele. Ni mchezo wa kwanza hataua ya makundi ambapo ni msako wa pointi tatu muhimu. Itabidi wajilaumu wenyewe ndani ya dakika 45 kwa kukosa nafasi tatu za wazi ambazo wametengeneza kwa kushindwa kuzibadili kuwa mabao. Nafasi moja ilikoswa na…

Read More

CHELSEA FULL SHANGWE NA KOMBE MKONONI

CHELSEA ni mwendo wa furaha baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Palmeiras kwenye fainali ya Klabu bingwa dunia na kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa ngazi ya Klabu. Mabao ya Chelsea yalifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 54 na lile la ushindi lilifungwa na Kai Havertz dakika ya 117 kwa mkwaju wa…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA ASEC MIMOSAS

LEO Februari 13 kikosi cha Simba kinartarajiwa kusaka ushindi dhidi ya ASEC Mimosas kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi. Hiki hapa kikosi kitakachoanza:- Aishi Manula Shomari Kapombe Mohmaed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Jonas Mkude Peter Banda Sadio Kanoute Meddie Kagere Rally Bwalya Sakho Akiba Ally Israel Gadiel Wawa Nyoni Mzamiru Bocco…

Read More

KOCHA SIMBA:TUPO TAYARI KIMATAIFA LEO

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Simba ikiwa kundi D leo itatupa karata yake ya kwanza katika mchezo wa kimataifa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa na timu nyingine itakazocheza nazo ni pamoja na RS…

Read More

NABI AKOMAA KUUNDA PACHA MPYA YA MAYELE

IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, usiku na mchana anapambana kutengeneza uwiano wa Fiston Mayele, Heritier Makambo na Yusuf Athumani ili aweze kuwatumia pamoja. Licha ya Yanga kuendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, ikiwa na pointi zake 36, ambazo imezikusanya baada ya kucheza mechi 14, imefunga mabao…

Read More

ASEC MIMOSAS SIO WANYONGE,WATUMA UJUMBE HUU SIMBA

LICHA ya kubainisha kwamba wanatambua wapo ugenini mbele ya Simba lakini wameweka wazi kwamba hawatakuwa wanyonge bali watacheza kwa umakini kusaka ushindi leo Uwanja wa Mkapa. Julien Chevalier,Kocha Mkuu wa ASEC Mimosas alisema kuwa aliwafuatilia Simba katika mechi za ligi ya mabingwa Afrika na kuona uwezo wao. “Simba ni timu kubwa nimeifuatilia na tumeona kwamba…

Read More

SIMBA FANYENI KWELI LEO KIMATAIFA

SIMBA SC, leo Jumapili inatarajiwa kuvaana na ASEC Mimosas katika mchezo wa hatua ya makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Saalam. Huu utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba katika hatua hii ikiwa ni timu pekee ya Tanzania katika michuano hiyo. Simba imekuwa na historia nzuri katika michuano hiyo ya kimataifa kwa siku za karibuni, tunaamini kuwa wataendakufanya kweli kuanzia mchezo wa leo…

Read More

WAPINZANI WA SIMBA WAPIGA MATIZI YA MWISHO MKAPA

WAPINZANI wa Simba, ASEC Mimosas leo Februari 12,2022 wamefanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa. Ni kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kesho Februari 13, Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba. Utakuwa mchezo wa kwanza kwa timu hizo ndani ya kundi D katika Kombe la Shirikisho Afrika ambapo kila timu hesabu zake ni kusepa…

Read More

LWANGA KUWAKOSA ASEC MIMOSAS LICHA YA KUPIGA MATIZI

LICHA ya Taddeo Lwanga kiungo mkata umeme wa Simba kuanza mazoezi hana uhakika wa kuanza kesho mbele ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco inakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho, hatua ya makundi. Kwa sasa Simba ipo kwenye maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa…

Read More

JOB KUKOSA KAZI MBELE YA MABOSI WAKE

DICKSON Job, beki kitasa wa Yanga ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi anatarajiwa kuukosa mchezo ujao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar. Job aliibuka ndani ya Yanga akitokea Mtibwa Sugar ambapo huko pia alikuwa ni nahodha na chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Zuber Katwila ambaye alikuwa anakinoa kikosi hicho kabla…

Read More

TANZIA:BEKI SONSO ATANGULIA MBELE ZA HAKI

ALLY Mtoni, ‘Sonso’ beki wa mpira aliyekuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Ruvu Shooting ametangulia mbele za haki. Taarifa ambayo imetolewa leo imeeleza kuwa beki huyo amepatwa na umauti kutokana na kusumbuliwa na tatizo la mguu. Ikumbukwe kwamba Sonso mwenye miaka 29 aliwahi kucheza ndani ya kikosi cha Yanga kisha akaibukia Kagera Sugar. Timu nyingine…

Read More

MO AWAWEKEA SIMBA MIL 200 WAIFUNGE ASEC

  KATIKA kuhakikisha wanapata ushindi wa kwanza nyumbani dhidi ya Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast katika mchezo wa kwanza wa makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Rais wa Heshima wa Simba, bilionea Mohamed Dewji ‘Mo’, ameahidi kuwapa bonasi nzuri inayofikia Sh 200Mil kama wakifanikiwa kuwafunga wapinzani wao hao. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana Jumapili hii…

Read More