BIASHARA UNITED KATIKA BIASHARA YA KUSAKA POINTI TATU LEO
BIASHARA United ya Mara leo inatarajiwa kushuka Uwanja wa CCM Kirumba kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC ya Dar. Mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa Uwanja wa Karume ila miundombinu ya Karume haijawa rafiki. Ikiwa inanolewa na Kocha Mkuu, Vivier Bahati imejikusanyia pointi 12 baada ya kucheza mechi 14. Inakutana na Azam FC yenye pointi…