MORRISON BADO HAJAANDIKA BARUA KAMA ALIVYOELEKEZWA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mpaka sasa haujapokea barua ya mchezaji wao Bernard Morrison kama ambavyo alielekezwa kufanya hivyo kabla ya kusimamishwa. Februari 4,2022 Simba ilitoa taarifa rasmi ya kumsimamisha Morrison kwa kile kilichoelezwa kuwa ni sababu ya utovu wa nidhamu. Ofisa Habari wa Simba,Ahmed Ally amesema:”Tulimsimamisha Morrison kutokana na tuhuma za nidhamu ambazo…