SIMBA YAPOTEZA KIMATAIFA MBELE YA RS BERKANE
MAPAMBANO ambayo walikuwa wakifanya Simba mbele ya RS Berkane yamekwama kuwapa ushindi baada ya kupoteza kwenye mchezo wa kundi D kwa kufungwa mabao 2-0. Adama Ba alipachika bao la kuongoza dakika ya 32 na lile la pili lilifungwa na Charki El Bahri dk 41 hawa waliimaliza Simba kipindi cha kwanza. Unakuwa ni mchezo wa kwanza…