>

FT:LIGI KUU:MTIBWA SUGAR 0-2 YANGA

UWANJA wa Manungu Complex mchezo umekamilika na ubao umesoma Mtibwa Sugar 0-2 Yanga. Ni dakika ya 45+5 bao hilo lilipachikwa na kuwafanya Mtibwa Sugar wasiwe na chaguo la kufanya. Mtupiaji wa bao la kuongoza ni Said Ntibanzonkiza ambaye ametumia pasi ya Feisal Salum. Hakuna timu iliyoonyeshwa kadi ya nyekundu huku timu zote mbili zikicheza kwa…

Read More

ALIWAPA TABU SIMBA ADEBAYO AKUBALI KUSAINI

WAKATI Simba SC  ikiambulia pointi moja mbele ya US Gendarmerie juzi Jumapili, ilifanya umafia kwa kuzungumza na wakala wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Victorien Adebayor ili kumsajili.   Adebayor ni kati ya wachezaji tegemeo katika kikosi cha Gendarmarie ambaye katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane msimu huu alifunga mabao mawili.   Katika mchezo huo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika uliomalizika kwa sare ya…

Read More

YANGA HAINA HOFU NA MANUNGU

HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga,amesema kuwa Uwanja wa Manungu ambao unatarajiwa kutumika leo kwamchezo wao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar kwao sio tatizo. Yanga ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 36, wanatarajia kukutana na Mtibwa Sugar iliyokusanya pointi 12 na zote zimecheza mechi 14.   Akizungumza na Championi Jumatano, Bumbuli alisema kila mechi wanazocheza kwao ni muhimu bila kujali wanacheza wapi kwa…

Read More

KOCHA RS BERKANE AIHOFIA SIMBA KIMATAIFA, ATOA ANGALIZO

BAADA ya kuzitazama rekodi zake anapocheza na Simba, Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge, amekiri kukutana na upinzani mkali dhidi ya timu hiyo katika michuano ya kimataifa. Ibenge amekutana na Simba mara nne katika michuano ya kimataifa wakati alipokuwa akiinoa AS Vita ya DR Congo ambapo katika michezo hiyo amepoteza mitatu na akishinda mmoja. Ibenge kwa sasa akiwa kocha mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, anatarajiwa kukutana na Simba katika mchezo…

Read More

CHEKI MATOKEO YA MTIBWA V YANGA

LEO Februari 23, Uwanja wa Manungu unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar v Yanga majira ya saa 10:00. Timu hizo zimekuwa na matokeo ya kushangaza kila zinapokutana uwanjani hivyo leo dakika 90 zitaamua nani atakuwa nani. Haya hapa ni matokeo ya mechi za hivi karibuni walipokutana kwenye ligi:- Yanga imeshinda…

Read More