SIMBA YAGAWANA POINTI MOJAMOJA KIMATAIFA, MORRISON ATUPIA
NGOMA iliyopigwa kiume katika hatua ya makundi imekamilika na kila timu kugawana pointi mojamoja. Alianza Wilfred Gbeuli dk 11 kumtungua Aishi Manula kutokana na makosa ya safu ya kiungo na ulinzi ya Simba kufanya makosa. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ilikwenda mapumziko ikiwa imetunguliwa bao moja na ilipiga shuti moja lililolenga lango kati…