SIMBA YASEPA NA POINTI TATU MBELE YA ASEC MIMOSAS
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, Simba leo Februari 13 wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Bao la mapema lilijazwa kimiani na Pape Sakho ilikuwa dakika ya 12 kwa pasi ya Shomari Kapombe lilidumu mpaka muda wa mapumziko. Kipindi cha pili ASEC Mimosas walifanya kweli na kupata…