GSM WAJIONDOA UDHAMINI LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Kampuni ya GSM leo Februari 7, 2022,umetangaza rasmi kujiondoa kwenye nafasi ya kuwa Mdhamini mwenza wa Ligi Kuu ya NBC. Taarifa ambayo imetolewa na Ofisa Biashara Mkuu wa GSM, Allan Chonjo imeeleza kuwa leo Februari 7,2022 GSM imetangaza rasmi kujiondoa kwenye nafasi ya kuwa mdhamini mweza wa ligi. Sababu ya kufikia maamuzi hayo…