NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mpango wa usajili upo na anahitaji kumpata mbadala wa Kibwana Shomari.
Pendekezo lake ni kuwapata wazawa wenye vipaji ili waweze kukomaa zaidi kwa kuwa amewaona wengi na wanauwezo mkubwa wa kufanya mambo mazuri kwa ajili ya mashabiki na timu kiujumla.