VIDEO:DENIS NKANE ATOA SHUKRANI KWA KUFUNGA,MUDA UTAONGEA

KIUNGO Mshambuliaji Dennis Nkane ingizo jipya ndani ya Yanga ameweka wazi kuwa muda utaongea na amefurahi kuweza kufunga bao la kwanza ndani ya kikosi hicho kwenye mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Taifa Jang’ombe.

Yanga ilishinda mabao 2-0 katika mchezo uliochezwa Januari 5. Nkane ameibuka Yanga akitokea Biashara United.