Aliyekuwa mke wa Harmonize @harmonize_tz , @sarah__tz ametokea katika picha zinazoonyesha jezi mpya za Simba ambazo wamezitambulisha Jumatatu, Januari 3, 2022.
Sarah ambaye hivi karibuni alionekana kuwa na mmoja wa mameneja wa @diamondplatnumz , @sallam_sk , ametokelezea katika picha hizo akiwa modo wanaotangaza ujio wa jezi ambazo zitatumiwa na Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika na Kombe la Mapinduzi.