VIDEO: SIMBA QUEENS YAIFUNGA 15-0 RUVUMA QUEENS – LIGI KUU YA WANAWAKE, UWANJA wa MO ARENA..

KARIBU utazame Dakika 90 za mtanange wa ligi kuu ya wanawake kati ya Simba Queens vs Ruvuma Queens, unaochezwa katika uwanja wa Mo Simba Arena. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx