YANGA HAWANA JAMBO DOGO WAWAPIGIA HESABU WAARABU
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga utakuwa ni maalumu kwa ajili ya kusaka ushindi ukipewa jina la Pacome day Kitaalamu zaid. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wanatambua umuhimu wa kupata matokeo kwenye mchezo wao ujao hivyo watafanya kazi kubwa kupata ushindi….