VIDEO:KOCHA SIMBA:AZAM FC INA WACHEZAJI WAZURI

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa Azam FC ni moja ya timu imara na ina wachezaji wazuri hivyo kuelekea kwenye mchezo wao wa kesho Januari Mosi 2022 wanatarajia kupata upinzani mkubwa. Aidha Pablo amebainisha kwamba ambacho wanahitaji kwenye mchezo huo ni ushindi kwa kuwa maandalizi yameanza kwa muda mrefu na wachezaji wanatambua kwamba…

Read More

VIDEO:DOZI YA PABLO KWA WAWA,KAGERE,MUGALU IPO HIVI

NYOTA wa Simba chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco wanaendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Januari Mosi 2022. Miongoni mwa wachezaji ambao wanapewa dozi na Pablo ni pamoja na beki Pascal Wawa, Henock Inonga, Jonas Mkude, Meddie Kagere na Chris Mugalu.

Read More