AJIBU KUIKOSA SIMBA LEO KWA MKAPA
KIUNGO Ibrahim Ajibu ambaye ni ingizo jipya ndani ya Azam FC kuna uwezekano asianze kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Simba ambao ni wa Ligi Kuu Bara. Timu zote mbili zimeweka wazi kwamba zinahitaji pointi tatu muhimu ambapo kwa upande wa Azam FC, Idd Aboubakhari, Kocha wa Makipa wa Azam FC amesema kuwa wanatambua Simba ni…