
WACHEZAJI WALIOTAKIWA NA SIMBA KISHA KUIBUKIA YANGA
KWENYE usajili huwa kunakuwa na vita kubwa ambapo wapo wachezaji waliokuwa wakitakiwa na Simba mwisho wakaibukia Yanga na wapo wachezaji waliokuwa wakitakiwa na Yanga mwisho wakaibukia Yanga wanasema hivyo mwenye kisu kikali atakula nyama. Hawa ni baadhi kwa hivi karibuni.