KITAWAKA LEO MECHI ZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA LEO, SENEGAL, DR CONGO, MALI, EGYPT MAMBO NI MOTO!

Leo hii Senegal, DR Congo, Mali, Egypt na timu nyingine kibao zinashuka dimbani kusaka pointi tatu kwaajili ya kujiandaa na Kombe la Dunia 2026. Nani unamdhamini kukupatia maokoto?. Suka jamvi lako na merdiainbet sasa. Senegal yenye kikosi cha ushindi kitakuwa dimbani kukiwasha dhidi ya DR Congo. Timu hiyo ina wachezaji wazoefu na ambao wanacheza ligi…

Read More

AZIZ KI BALAA ZITO YANGA

MWAMBA Aziz Ki ana balaa ndani ya uwanja kutokana na kasi yake kuzidi kuwa imara katika uwanja kila wakati. Rekodi zinaonyesha kuwa amefunga jumla ya mabao 30 ndani ya ligi tangu alipotua Yanga msimu wa 2022/23 na sasa ni 2023/24. Ni mabao 9 alifunga msimu wake wa kwanza na msimu wa 2023/24 katupia mabao 21…

Read More

KASI YA MWAMBA SAIDO FUNGA KAZI NOMA

KWENYE funga kazi ya msimu wa 2023/24 ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda mwamba wa kazi Saido Ntibanzokiza alikiwasha. Pengine kazi yake ingekuwa hivyo tangu mwanzo wa msimu alikuwa na nafasi ya kuvunja rekodi yake ya msimu wa 2022/23 kwa kutupia mabao 17 lakini upepo ulikuwa tofauti. Kiungo mshambuliaji wa…

Read More

SHINDA MAMILIONI NA 20 IMPERIAL CROWN KASINO!!

20 Imperial Crown Deluxe ni mchezo wa kasino mtandaoni unaohusu matunda, mchezo huu una safu tano zilizopangwa katika mistari mitatu yenye mistari 20 ya malipo. Ili kushinda, lazima uunganishe alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo. Alama ya Lucky 7 ndiyo isiyofuata sheria hii na huleta malipo popote inapoonekana kwenye safu zilizopangwa. Kila…

Read More

JKT TANZANIA MWENDO MDUNDO, WACHEZAJI WAPEWA TANO

MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa ushindi kwenye mchezo wa kwanza wa play off dhidi ya Tabora United ni matokeo ya wachezaji kufanyia kazi makosa yaliyopita. Timu hiyo inapambana kujinusuru kubaki ndani ya ligi ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ukisoma Tabora United 0-4 JKT Tanzania. Kwenye mchezo ni Said…

Read More

HII HAPA AHADI YA PACOME YANGA

KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua amepanga kuwa na msimu mzuri katika msimu ujao, ikiwemo kuendelea kuipa mataji timu hiyo. Nyota huyo ni kati ya wachezaji walitoa mchango mkubwa katika kikosi hicho, ikiwemo kutetea Ubingwa wa Ligi Kuu Bara na kuifikisha timu katika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu huu….

Read More

HIVI NDIVYO VITA ILIMALIZWA KWA AZAM FC NA SIMBA

VITA ile iliyokuwa ikisaka mshindi mmoja ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 imebaki gumzo baada ya kugota mwisho na mshindi kupatikana. Kwenye mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 kila kona walikamatana jambo ambalo liliongeza ushindani ndani ya uwanja kwa wababe hao wawili Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu Yusuph Dabo na Simba…

Read More

SIMBA WATAJIWA BEI YA FEISAL KUTOKA AZAM

UONGOZI wa Azam FC umekubali kumuachia kiungo wake mshambuliaji, Feisal Salum kwenda katika klabu itakayomuhitaji katika msimu ujao kwa dau la Sh 5Bil. Kiungo huyo anatajwa katika usajili wa Simba ambayo imepanga kufumua kikosi chao na kukiimarisha ili kirejeshe makali yake msimu ujao. Simba ndani ya misimu mitatu mfululizo imeshindwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu…

Read More