
MIGUEL GAMONDI REKODI ZAKE HIZI HAPA
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi baada ya kucheza mechi nne ambazo ni dakika 360 imekomba ushindi mechi zote za Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji la ligi walitwaa msimu wa 2023/24 walipomaliza msimu wakiwa na pointi 80 kibindoni baada ya kucheza mechi 30. Kwa msimu wa 2024/25…