
MERIDIANBET YAISHIKA MKONO HOSPITALI YA NDUMBWI MBEZI
Meridianbet wamefanikiwa kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yao ambayo mara kwa mara wamekua wakiwaunga mkono, Ambapo leo wamefika eneo la Mbezi ya Juu na kutoa msaada wa vifaa vya usafi kwa Hospitali. Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekua kwenye utaratibu huu kwa miaka mingi wakihakikisha wanagawana na jamii yao kila ambacho wamekivuna, Hii imewafanya kwa…