
BASHIRI MECHI ZA EURO LEO… SERBIA WATAKIWASHA DHIDI YA UINGEREZA
Wakali wa ubashiri Tanzania zima Meridianbet wanasema hivi bashiri mechi za EURO leo uweze kujiweke kwenye nafasi ya kupiga mkwanja wa maana kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Mechi ya mapema leo hii ni hii ya Kundi D ambapo Poland wataumana dhidi ya Netherlands katika dimba la Volksparkstadion wakati Mholanzi akiwa…