
YANGA SC BINGWA CRDB FEDERATION CUP 2024/25
MILOUD Hamdi, Kocha Mkuu wa Yanga SC amesema kuwa furaha kubwa ni kuona timu hiyo inaendelea kupata matokeo mazuri na kutwaa mataji ambayo walikuwa wanayatafuta. Kwenye fainali ya CRDB Federation Cup, Juni 29 2025 Yanga SC ilishinda mabao 2-0 dhidi yaSingida Black Stars fainali iliyopigwa Uwanja wa New Amaan Complex. Mabao ya Duke Abuya dakika…