
COASTAL UNION WANAWEZA WAKASHINDA KAMATI YA TFF ILA MBELE KUGUMU
Mgogoro wa Simba SC na Coastal Union kwa usajili wa Lameck Lawi kama umeufuatilia kwa makini kuna namna ambavyo mpaka sasa inaonyesha utaenda kumalizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) ama Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA) tu. Ndiyo, CAF sio FIFA na FIFA sio CAS watu huwa wanachanganya hivi vyombo viwili,…