
AZIZ KI NA FEISAL VITA YAO ILIKUWA NOMA KINOMA, REKODI ZAO HIZI HAPA
AZIZ Ki na Feisal Salum vita yao kwenye rekodi ilikuwa ngoma nzito kutokana na kila mmoja kupambana kufikia malengo yao kwa msimu wa 2023/24 na mwisho Aziz Ki alikuwa namba moja kwenye utupiaji akiwa na mabao 21 Fei mabao 19.