
RAJA CASABLANCA YA MOROCCO YATWAA UBINGWA KOMBE LA FA THRONE CUP, NABI KAMALIZA KAPA
Klabu ya Raja Casablanca ya Morocco imetwaa ubingwa kombe la FA Nchini humo (Throne Cup) kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya AS FAR Rabat kwenye fainali. Kipigo hicho kinamfanya kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi kumaliza msimu bila kombe lolote. FT: AS FAR Rabat 1-2 Raja Casablanca ⚽ Zouhzouh 28’ ⚽ Bouzok 6’ ⚽…