
WALICHOFANYA MASTAA WA SIMBA NA TANZANIA PRISONS
MASTAA wa Tanzania Prisons na Simba walikuwa na kazi ya kusaka pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Oktoba 22 Uwanja wa Sokoine baada ya dakika 90 ubao ukasoma Tanzania Prisons 0-1 Simba. Kila nyota alifanya kazi kubwa kutimiza majukumu yake na hapa tunakuletea baadhi ya walichofanya mastaa wa timu hizo namna hii:-…