
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA YANGA
UWANJA wa Mkapa, Oktoba 19 2024 Kariakoo Dabi inatarajiwa kuchezwa huku mwamuzi wa kati akiwa ni Ramadhan Kayoko. Hiki hapa kikosi cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:- Mussa Camara, Shomari Kapombe, Mohamed Hussen ambaye ni nahodha, Abdulazack Hamza, Che Malone, Yusuph Kagoma, Kibu Dennis, Ferndez Mavambo, Leonel Ateba, Jean Ahoua na Joshua Mutale….