
SIMBA SC YAHITIMISHA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA ‘PRE SEASON 2024’ KWA USHINDI
Klabu ya Simba Sc imehitimisha mechi za maandalizi ya msimu mpya ‘Pre Season 2024’ kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya klabu ya Al-Adalah FC ya nchini Saudi Arabia. FT: ?? SIMBA SC 2-1 ?? AL ADALAH ⚽️ Mukwala ⚽️ Mutale.