
KIUNGO YANGA AFICHUA WANACHOFANYA KUFIKIA MALENGO
KIUNGO wa kazi ndani ya Yanga Farid Mussa ameweka wazi kuwa wanafanya kazi kwa ushirikiano kufikia malengo ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi. Ipo wazi kuwa kwa 2024/25 Gamondi amekiongoza kikosi cha Yanga katika mechi mbili za ushindani ambazo ni dakika 180 kutwaa Ngao ya Jamii baada ya kushinda mechi zote mbele…