MUDATHIR NA JOB WAMEFANYA HAYA YANGA
MIAMBA wawili ndani ya kikosi cha Yanga kwa msimu wa 2023/24 wamefanya yao kwa kuandika rekodi za kuwa nyota wa kwanza kufunga katika mechi za mwanzo kwa kila mzunguko. Kasi ya kiungo Mudathir Yahya kutoka mzunguko wa kwanza imeendelea mpaka mzunguko wa pili akifanya yake ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba Mudathir alifunga mabao kwenye mechi…