
ISHU YA KIBU KUTOFUNGA JEMBE AFUNGUKIA NAMNA HII
WAKATI kiungo mshambuliaji wa Simba akipukutisha mwaka bila kufunga ndani ya Ligi Kuu Bara, Legend kwenye masuala ya michezo Bongo na Kimataifa, Saleh Ally wengi wanamuita Jembe ameweka wazi kuwa hiyo sio kazi ya Kibu kufunga. Ikumbukwe kwamba mara ya mwisho Kibu kufunga ilikuwa ni 5/11/2023 kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi baada ya dakika 90…