LIGI KUU BARA: SIMBA 1-2 TANZANIA PRISONS
FT: Mchezo wa ligi Simba 1-2 Tanzania Prisons Samson Mbagula goal dk 45, 62. Goal kwa Simba ni Fabrince Ngoma dk 89. AISHI Manula atajilaumu mwenyewe kwa kukaa kwa sekunde kadhaa akiwa langoni huku mpira ukiwa unaelekea langoni mwake na kumpa nafasi mpigaji kufunga kipindi cha kwanza. Samson Mbangula alitumia makosa ya Simba kuwa wengi…