
CHAMA KALIAMSHA BALAA UPYA HUKO
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga, Clatous Chama ameliamsha balaa upya kutokana na mwendelezo wake wa ubora kwenye anga la kimataifa ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Chama amekuwa gumzo kwa kuwa kwenye mchezo dhidi ya Vital’O uliochezwa Uwanja wa Azam Complex waliposhinda mabao…