
KILIMANJARO STARS YAAGA MASHINDANO YA KOMBE LA MAPINDUZI
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imeaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya Kenya ikiwa ni ni kipigo cha pili mfululizo baada ya kuanza kwa kipigo cha 1-0 dhidi ya Zanzibar Heroes. Hata hivyo Kilimanjaro Stars licha ya shughuli Yao kuishika hapa bado wana mchezo mmoja wa kukamilisha…