
AZIZ KI UJANJA WAKE UPO HAPA NA ANA DENI YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz Ki chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Sead Ramovic ujanja wake upo kwenye mguu wake wa kushoto ambao umekuwa na mashuti yenye nguvu kitaifa na kimataifa. Ki anaingia kwenye rekodi ya nyota aliyepiga mashuti mengi katika mechi za hatua ya makundi huku mchezo dhidi ya Al Hilal ukitajwa kuwa ni…