HIVI HAPA VIINGILIO MECHI YA SIMBA V AL AHLY

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly nguzo kubwa ya ushindi ni mashabiki jambo ambalo limewafanya waweke viingilio rafiki. Ipo wazi kwamba Simba ina kibarua cha kusaka ushindi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly hatua ya robo fainali Machi 29 2024 Uwanja…

Read More

YANGA: TUTAPAMBANA MPAKA TONE LA MWISHO

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa watapambana mpaka tone la mwisho kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na mechi za kimataifa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe kwamba Yanga katika mzunguko wa kwanza ilipoteza mchezo mmoja pekee ugenini kwa kuhushudia ubao wa Uwanja wa Highland Estate ukisoma Ihefu 2-1…

Read More

BETPAWA YADHAMINI TIMU ZA TAIFA KIKAPU KWA MABILIONI

 TIMU za taifa za mpira wa kikapu za wanaume (Silverbacks) na wanawake (Gazelles) zimepata udhamini mnono kutoka kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa wenye thamani ya sh2.6 bilioni za Uganda, sawa n ash Bilioni 1.8 za Kitanzania. Mkataba wa udhamini huo wa miaka mitatu ulisainiwa jana kati ya maofisa wa Shirikisho la Mpira wa…

Read More

SIMBA MPYA KUIKABILI AL AHLY KWA MKAPA

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa wanatambua ugumu uliopo kwenye mashindano wanayocheza lakini wapo tayari kuona kwamba wanashinda mchezo huo ambao ni muhimu kwao. Simba inapeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya makundi ambapo kuna timu mbili kutoka Tanzania. Yanga wao watakuwa na…

Read More

TAIFA STARS KAMILI KIMATAIFA, HALI YA HEWE TATIZO

KOCHA wa Timu ya Taifaya Tanzania, Taifa Stars, Hemedi Sulemaini amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mechi zinazowakabili licha ya hali ya hewa kuwa ngumu kidogo watazoea taratibu. Kocha huyo amebainisha kwamba taratibu wanaendelea kuwa kwenye mfumo kutokana na maandalizi ambayo wanafanya na imani ni kufanya vizuri kwenye mechi zao zote. Taifa Stars…

Read More

MSANII WA VICHEKESHO MJEGEJE AFARIKI

Msanii wa vichekesho Umar lahbedi Issa almaarufu la Mzee wa Mjegeje amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa akipatiwa matibabu. Meneja wa msanii huyo amethibitisha taarifa za kifo hicho huku chanzo cha kifo chake kikitajwa kuwa alikuwa anaumwa maradhi ambayo hayajawekwa wazi.

Read More

VIDEO: DOROTHY MRITHI WA ZITTO AJIBU KWA NINI MAKAMU WA KWANZA ZANZIBAR HANA NGUVU KAMA MAKAMU WA PILI

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo aliyechukua nafasi ya Zitto Kabwe ndani ya chama hicho, mwanamama Dorothy Semu amefunguka juu ya mjadala na maswali kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman anayetokana na ACT hana nguvu ukilinganisha na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla. Katika mahojiano…

Read More

SIMBA WANAPAMBANIA HALI YAO KWA SASA

MSIMU wa 2023/24 unaingia kwenye orodha ya msimu ambao Simba inapitia magumu kutokana na mwendo wake kutokuwa bora ndani ya uwanja katika mechi za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. Kwa upande wa  rekodi kwa timu na namba binafsi kwa wachezaji wanaotimiza majukumu kikosi cha Simba kwa hivi karibuni haujawa kwenye ubora ambao ulikuwa unatarajiwa…

Read More

WATANO HAWA YANGA HATIHATI KIMATAIFA

MWAMBA Pacome Zouzoua anasumbuliwa na maumivu ya goti alipata maumivu mchezo wa Mzizima Dabi. Kuna hatihati kwa nyota hawa kuwa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Khalid Aucho alikosekana Mzizima Dabi anasumbuliwa na goti, Zawadi Mauya naye hayupo fiti huku Attohoula Yao aliumia kwenye nyama…

Read More

MAYELE AMPA TANO FEI TOTO

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga SC, Fiston Mayele amempongeza kiungo wa Azam FC ambaye naye amewahi kukipiga Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kufunga goli la ushindi wa 2-1 kwenye mchezo dhidi ya waajiri wake wa zamani. Feisal aliibuka Azam FC akitokea Yanga walipokutana kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi uliochezwa Machi…

Read More

UWANJA MPYA WA AFCON WAANZA KUJENGWA MKOANI ARUSHA

Serikali kupitia wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo leo Machi 19, 2024 imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Dokta Samia Suluhu Hassani wenyewe thamani ya shilingi bilioni mia mbili na themanini na Sita ambao utatumika katika michuano ya mataifa Afrika AFCON 2027 inayoandaliwa na nchi za Tanzania, Kenya na Uganda Akizungumza na waandishi wa…

Read More

SIMBA WAIVUTIA KASI AL AHLY

WAKIWA na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, Waarabu wa Misri uongozi wa Simba umebainisha kuwa kambi yao itakuwa Zanzibar kwa maandalizi. Timu hiyo inaiwakilisha Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika mchezo wao wa hatua ya robo fainali unatarajiwa kuchezwa Machi 29 Uwanja…

Read More