CHEZA RICH PANDA IKUPANDISHE KWENYE KITITA

Cheza mchezo wa Kasino wa Rich Panda leo uhakikishe unapandishwa kwenye kilele cha maokoto, Kwani kupitia mchezo huu pendwa kwasasa unaweza kuimaliza wikiendi yako kwa namna kibabe kabisa tembele sasa tovuti ya Meridianbet ucheze mchezo huu. Mchezo huu wa Rich Panda unatoa nafasi kubwa ya kuweza kushinda kitita kutokana na namna rahisi ya kuweza kucheza…

Read More

SIMBA YAPOTEZA KARIAKOO DABI NYUMBANI

SIMBA inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids imepoteza mchezo wa Kariakoo Dabi Uwanja wa Mkapa kwa kushuhudia ubao ukisoma Simba 0-1 Yanga. Bao pekee la ushindi kwa Yanga limefungwa na Maxi Nzengeli dakika ya 86 akitumia makosa ya kipa wa Simba Mussa Camara kutema faulo iliyopigwa na Clatous Chama. Simba walikosa utulivu kipindi cha kwanza…

Read More

KIKOSI CHA YANGA HIKI HAPA DHIDI YA SIMBA

KIKOSI cha Yanga dhidi ya Simba Oktoba 19 2024 ikiwa ni Kariakoo Dabi kipo tayari kuelekea kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Kikosi cha kwanza hiki hapa:-Dijgui Diarra, Yao, Ladack Boka, Dickson Job, Ibrahim Bacca, Khalid Aucho, Maxi Nzengeli, Mudathir Yahya, Prince Dube, Aziz Ki na Pacome kwa kikosi cha kwanza. Wachezaji wa…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA YANGA

UWANJA wa Mkapa, Oktoba 19 2024 Kariakoo Dabi inatarajiwa kuchezwa huku mwamuzi wa kati akiwa ni Ramadhan Kayoko. Hiki hapa kikosi cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:- Mussa Camara, Shomari Kapombe, Mohamed Hussen ambaye ni nahodha, Abdulazack Hamza, Che Malone, Yusuph Kagoma, Kibu Dennis, Ferndez Mavambo, Leonel Ateba, Jean Ahoua na Joshua Mutale….

Read More

MWAMBA HUYU HAPA MKALI WA PASI JANGWANI

ZIKIWA zimesalia saa chache kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga kuchezwa Uwanja wa Mkapa kuna balaa kubwa eneo la kiungo ambapo yupo mtaalamu wa pasi za mwisho ndani ya kikosi hicho kinacholewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Uwanja wa Mkapa kwa sasa mashabiki waliopo nje wanapambana kujikinga na mvua…

Read More

AZAM FC YABADILI MUELEKEO, KOCHA AFICHUA SIRI

BAADA ya kukomba pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Mbeya, Uwanja wa Sokoine Kocha Mkuu wa Azam FC Rachid Taoussi amefichua kuwa walibadili muelekeo kulingana na mchezo husika na kupata matokeo kama ambavyo walifanya vizuri mazoezini. Oktoba 18 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sokoine ulisoma Tanzania Prisons 0-2 Azam FC…

Read More

Man U, Arsenal, PSG, Bayern Kukupatia Pesa Leo

Meridianbet wanakwambia ukitaka utajiri sehemu ni moja tuu, ingai kwenye akaunti yako na usuke jamvi la pesa leo.  Kama kawaida BUNDESLIGA itaendelea pia bingwa mtetezi Bayer Leverkusen baada ya kutoa sare leo atamenyana dhidi ya Frankfurt ambaye pia alitoa sare mechi yake iliyopita. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Jisajili hapa. Wakati huo…

Read More

KOCHA YANGA AANIKA SILAHA za MAANGAMIZI KUELEKEA DERBY ya KARIAKOO – ATAJA KIKOSI – VIDEO

Kauli ya kocha wa Yanga Sc Miguel Gamondi kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Simba Sc. Tuna furaha kubwa kuelekea kwenye ligi huku tukiwa na mchezo muhimu wa Derby. Tupo vizuri, tuna matumaini makubwa ya kufanya vizuri hapo kesho. Hatujabadilika sana kwenye maandalizi tumejiandaa kama ambavyo tumekuwa tukifanya hapo awali” “Tumetokea kwenye wiki ya FIFA…

Read More

KAYOKO APEWA MECHI YA KESHO, SIMBA vs YANGA KWA MKAPA

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa refa atakayesimamia sheria 17 za mchezo wa soka kwenye Derby ya Kariakoo itakayopigwa Jumamosi, Oktoba 19, 2024 katika dimba la Benjamin Mkapa. Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam, huku mwamuzi wa akiba…

Read More

NYAKUA MAOKOTO KUPITIA 40 LUCKY SEVENS

Mamilioni yanaweza kua ya kwako leo kwa kucheza mchezo wa kasino wa 40 Lucky Sevens ambao umekua mchezo pendwa kwasasa na kutoa mamilionea kila uchwao. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma “Game Art“. Utapenda mchezo huu ikiwemo aina mbili za alama ya scatter. Pia kuna alama…

Read More