Glory casino online: The Top Online Casino for Bangladesh
Glory casino online: The Top Online Casino for Bangladesh
Glory casino online: The Top Online Casino for Bangladesh
BAADA ya kutoka kuvuna pointi tatu mbele ya Kagera Sugar katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba Desemba 21 na ubao kusoma Kagera Sugar 2-5 Simba leo watakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania. Simba inakutana na JKT Tanzania ambayo mchezo wao uliopita ilikuwa ugenini dhidi ya Namungo, baada ya dakika 90…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye dirisha dogo la usajili itafanya usajili wa maana kutokana na mahitaji ya benchi la ufundi hivyo mashabiki wawe na subira kila kitu kipo kwenye mpango. Azam FC kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 15 imekusanya pointi 33 ipo nafasi ya tatu vinara ni Simba wenye pointi 34…
JESHI la Magereza Tanzania limemuonya Mwanachama wa klabu ya Yanga Sc, Haji Sunday Manara kwa kauli isiyo ya kiungwana yenye viashiria vya kutweza utu na yenye mwelekeo wa kulifedhehesha Jeshi hilo aliyotoa baada ya mchezo kati ya Yanga Sc dhidi ya Wajelajela, Tanzania Prisons katika dimba la KMC Complex. Taarifa ya leo Desemba 23 iliyotolewa…
Aliyekuwa Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Dkt. Anorld Kashembe amefariki Dunia leo Desemba 23, 2024 huku klabu hiyo ikielezea kusikitishwa kumpoteza CEO wao huyo wa zamani ambaye alikuwa na mchango mkubwa kwa klabu hiyo. “Uongozi wa klabu ya Simba umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba uliotokea leo 23.12.2024 wa aliyekuwa Mtendaji wa klabu…
WAKIWA ugenini Liverpool walikomba pointi tatu muhimu dhidi ya Tottenham kwa ushindi wa mabao 6-3 mchezo wa Ligi Kuu England ambapo moto wao sasa hauzimi kutokana na mwendelezo wa kusaka ushindi ndani ya uwanja. Mabao ya Diaz alitupia mara mbili dakika ya 85, 23, Mohamed Salah dakika ya 54, 61, Szoboszlai dakika ya 45 na…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ameweka wazi kuwa usajili wao mpya wa Ellie Mpanzu umejibu kwa haraka licha ya kuwa na mchezo mmoja wa ushindani. Nyota huyo mchezo wake wa kwanza ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar ambapo kwenye mchezo huo alikomba daika 57 alikuwa na uwezo wa kupiga mashuti ya mbali…
Huenda umewahi kuona au kusikia stori nyingi kuhusu paka, Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuletea mkutano na paka wa kuvutia wanaowapa wachezaji zawadi za kasino. Kazi yako ni kuwakusanya tu. Cat Purry ni sloti ya kasino mtandaoni inayotolewa na Games Global. Katika mchezo huu, utapata bonasi kadhaa. Kuna Bonasi ya Kishindo Kikubwa ambayo inakupa nafasi ya…
Подпишитесь На 150 Бонусов Казино! – Азино Мобайл Сайт
UBAO wa Uwanja wa KMC, Complex umesoma Yanga 4-0 Tanzania Prisons ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mabao ya Clement Mzize dakika ya 13, Ibrahim Bacca dakika ya 42, 83 na Prince Dube dakika ya 45. Kwenye mchezo wa leo Bacca amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo. Rekodi zinaonyesha kuwa katika mechi tano zilizopita…
SIMBA ni timu ambayo imefunga mabao mengi ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kucheza jumla ya mechi 13 ndani ya NBC Premier League. Mabao 29 imefunga huku kinara wa utupiaji akiwa nj Jean Ahoua mwenye mabao sita kibindoni kwenye ligi. Ateba na Mukwala hawa wawili wametupia mabao mannemanne kila mmoja katika mabao hayo 29….
MWAMBA Aboutwalib Mshery kipa wa Yanga leo Desemba 22 ana kibarua cha kutimiza majukumu yake mbele ya Wajelajela, Tanzania Prisons mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Mshery kuanza kikosi cha kwanza msimu wa 2024/25 huku Kibwan Shomary ambaye mchezo uliopita dhidi ya Mashujaa…
CAMARA Moussa ambaye ni jicho la timu amekuwa akifungwa mabao yanayotokana na kupunguza umakini hasa katika eneo lake. Ukitazama mabao yote matano aliyofungwa ndani ya Ligi Kuu Bara amehusika kwa uzembe asilimia kubwa,Desemba 21 alikuwa shuhuda ubao wa Uwanja wa Kaitaba ukisoma Kagera Sugar 2-5 Simba. Mabao mawili dhidi ya Coastal Union, moja alifungwa akiwa…
Jumapili ndio hii imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet ambapo mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Unasubiri nini kuchukua chao mapema? Mechi za ligi kuu ya Italia SERIE A leo hii zinaendelea ambapo Atalanta atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Empoli ambao wanashikilia nafasi…
Gabriel ‘Jesus’ amefunga magoli mawili wakati Washika Mitutu Arsenal wakiendelea kuweka hai matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kushusha kipigo cha 5-1 dhidi ya Crystal Palace ikiwa ni ushindi wao mkubwa zaidi msimu huu. Arsenal imefikisha pointi 33 baada ya mechi 17 huku wakiendelea kusalia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa…
Bao la dakika za jioooni la Alexander Sorloth limeipatia Atletico Madrid pointi zote tatu dhidi ya Barcelona katika dimba la Olímpic Lluís Companys na kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Uhispania (Laliga). Atletico Madrid imefikisha pointi 41 baada ya mechi 18 huku Barcelona ikiporomoka mpaka nafasi ya pili pointi 38 baada ya mechi 19….
Katika harakati za kuhakikisha michezo inasonga mbele hasa mchezo wa mpira wa miguu wakali wa ODDS KUBWA Tanzania, Meridianbet leo hii wameamua kuwashika mkono timu ya mpira inayoitwa Jogoo Veteran ya Mbezi Juu. Kampuni inayoongoza katika sekta ya michezo na ubashiri Meridianbet, imetoa msaada wa jezi mpya kwa timu ya mpira ya Mbezi Juu, ikiwa…