
MUSSA CAMARA KWENYE MTEGO MZITO
KIPA namba moja wa Simba, Mussa Camara yupo kwenye mtego mzito kurejesha hali ya kujiamini katika kikosi cha kwanza kutokana na mwendo ambao amekuwa nao kwa sasa. Ikumbukwe kwamba kipa huyo kwenye mechi nne mfululizo ambazo alianza kikosi cha kwanza katika mechi za Ligi Kuu Bara hakufungwa na alikuwa imara kwenye kucheza na kutoa maelekezo…